Real experiences and impact shared by our community
My name is Neema Reuben from Kayenze, Mwanza. Life hasn’t been easy I faced family struggles, financial challenges, and teenage pregnancy. Many thought my future had ended, but I chose to rise again.
Through MsichanaTai, I discovered my worth, gained tailoring skills, and rebuilt my confidence. Today, I am not defined by my past, but by my resilience. My dream is to open my own workshop, raise my son with love, and inspire other girls to know that challenges are not the end they are the beginning of new possibilities. @msichanatvmedia. Support was provided by advancing Fund, a fund of Tides Foundation
Naitwa Pili natokea Luchelele. Zamani nilikuwa msichana mwenye aibu na hofu ya kuzungumza mbele za watu. Kupitia mafunzo ya kujiamini yaliyotolewa na Msichana Tai, nilianza kujitambua na kuona thamani yangu kama msichana.
Baada ya hapo, nilipata nafasi ya kujifunza ufundi cherehani, ambako nilionyesha ubunifu mkubwa na ari ya kujitegemea. Kila nguo niyoishona leo ni alama ya safari yangu kutoka woga hadi ujasiri.
Sasa nina ndoto ya kufungua kituo cha ushonaji Luchelele ili kuwasaidia wasichana wengine wawe na ujasiri na stadi za kujitegemea kama mimi. “Msichana Tai ilinifundisha kujiamini, na leo najua ndoto zangu zinawezekana.”